Eliainaso Essau Malisa
Mratibu wa Daycare
Eliainaso Malisa ni mkazi wa Arusha na ni mwalimu kitaaluma pia ni mmiliki wa kituo Cha kulelea watoto. Kutokana na ujuzi na maarifa aliyonayo husaidia vituo vya kulelea watoto pindi anapofanya kazi ya shule za uswisi. Hivyo basi kwa uzoefu alionao kama mmiliki wa kituo Cha kulelea watoto amekuwa msaada katika shirika la 2givelife.